MAOMBI YA ULINZI
Mwendelezo wa Somo la Maombi ya Ulinzi....
KUKETI NA KUKAA
Baada ya utangulizi mfupi wa sura iliyopita sasa hebu tuangalie kwa undani zaidi,
Maombi haya ya ulinzi katika Zaburi hii.

ZABURI 91:1
AKETIE MAHALI PA SIRI PA ALIYE JUU ATAKAA KATIKA UVULI WAKE MWENYENZI
KUKETI
Katika tafsiri nyingi za kiingereza neno hili kuketi limetumika neno “dwell”.
Tafsiri yake ni kuwa ndani ya, au kukaa ndani ya.
Mfano Mtanzania yupo ndani ya Tanzania, samaki yupo ndani ya maji.
Katika Agano jipya Yesu aliposema “Mkikaa ndani yangu …….”
Alitumia Neno hili (Yohana 15). Sura iliyojengwa litumikapo neno hili ni kufunikwa au
kuzingirwa na mahali ulipoketi au ulipokaa.
Samaki yupo ndani ya maji, amezungukwa na maji.
Nuhu alipokuwa ndani ya safina alizungukwa na safina.
Alikuwa haonekani, amefichwa na safina.
Maji hayakumgusa. Aketie mahali pa siri pake aliye juu amezungukwa na uvuli wa Mungu.
Aketiye ndani ya Yesu amezungukwa na Yesu. Hagusiki.

KUKAA
Katika tafsiri za kiingereza neno “abide” limetumika kutafsiri neno hili kukaa.
Tafsiri yake ni “kudumu”. “Aliye ndani ya mahali pa siri pake aliye juu ataendelea
kuwepo katika uvuli wake Mwenyenzi”

MAHALI PA SIRI
Hapa ni mahali palipo jificha. Hapafikiki kirahisi, pana kitu cha thamani.
Zaburi 83:3 na Zaburi 51:6
Zaburi 83:3 na Zaburi 51:6
Pesa benki huwekwa vyumba vya siri maana zinathamani.
Mahali pa siri ni mahali panapoficha Zaburi 83:3, inawaita watu wa Mungu ni
“waliofichwa”. Wakolosai 3:3,
inaonyesha uhai wetu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.
Tuko sirini kwakuwa tumefichwa, tunakaa hapo, tunadumu kuwepo hapo, tumeketi hapo.
Hatimaye tumezungukwa na Mungu pande zote.

Hebu turudi nyuma kidogo na kusisitiza maneno kuketi na kukaa.
Tumeketi katika Yesu umo ndani yake.Tunakaa katika Yesu, tunadumu ndani yake.
Tumefichwa sirini katika Kristo Yesu, kivipi? Kwa sababu ya Agano.
Tulipompa Yesu maisha yetu tukaingia ndani yake na tunadumu kuwa ndani yake,
naye anatuzunguka pande zote. Kwa lugha nyingine tunapooka,
tunapompa Yesu maisha yetu tayari tupo sirini ndani yake.
Huu ndio msingi wa kuwa salama.
Usalama na ulinzi wetu upo katika kuwa ndani ya Yesu na kuendelea kuwa ndani yake,
wakati wote tunakuwa tumefichwa sirini na kuzungukwa pande zote kama watu wa thamani.
Maana vitu vya thamani hufichwa sirini.
Hufichwa kwa nje huzungukwa na uvuli wa Mungu Baba
kwa kuwa tupo ndani ya Yesu na tunaendelea kuwa ndani yake.

Maandiko yanasema tunalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya Imani (1Petro 1:5).
Imani zetu katika Yesu ndio msingi wa usalama na ulinzi. Tunapomwamini tunaketi na
kukaa ndani yake, tunapomwamini tunaingia katika Agao. Hapa tayari tunawekewa msingi
wa kuwa salalma na kulindwa.

Ingawa tupo duniani hatuketi na kukaa duniani hivyo hatari za duniani hazitupati kama
wana wa Israeli hatari za jangwani hazikuwapata walipokaa ndani ya Agano.
Na sisi tukaapo na kuketi ndani ya imani ya Yesu,
yaani Agano Jipya hatari za duniani hazitupati.

Agano la Kale walikaa mahali pa siri kwa kutenda torati.
Agano Jipya tunakaa mahali pa siri kwa kumwamini Yesu.

UVULI
Uvulini ni mahali pa usalama, mahali pa kufichwa Zaburi 17:8-9 imeandikwa
“Unilinde kama mboni ya jicho unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako”
msitari wa tisa unaendelea “Wasinione wasio haki wananonionea adui za roho yangu
wanaonizunguka” Unaposema umeketi na kukaa mahali pa siri pake aliye juu
maana yake umefichwa hauonekani na maadui!
Magaidi hawakuoni, wachawi nk.
Ufahamu huu unajenga hali ya KUTOOGOPA!
Huu pia ni msingi mkubwa wa kuwa salama.

No comments:
Post a Comment