YOHANA 10:25B
"...kazi hizi ninazozifanya kwa jina la Baba yangu ndizo zinazonishuhudia"
Yesu alifanya kazi kwa jina la Mungu Baba. Kazi za Baba zilionekana kupitia Mwana, Yesu Kristo kwa jina la Baba. Jina la Baba lilibeba kazi zake kupitia Yesu. Sisi/Kanisa tunazitenda kazi za Yesu kwa njia ya jina la Yesu. Mpendwa, wewe ni mdhihirisha kazi za Yesu kwa jina lake. Tarajia kuona kazi yeyote aliyoifanya Yesu, inadhihirika kupitia wewe kwa jina lake. Ni wewe peke yako unayetegemewa na Mbinguni, ili kumfunua Yesu kwa jina lake, ni wewe tu, hamna mwingine!
Mungu akubariki na kukuinua Mtumishi. Barikiwa sana.
ReplyDeleteAsante Lilian, nilipata comment yako.
DeleteAsante Lilian, Nilipata comment yako.
ReplyDelete