Wednesday, October 29, 2014

Alikuwepo Amedhihirika


1PETRO 1:20

"Naye amejulikana kweli tangu zamani, kabla haijawekwa misingi ya dunia; lakini alifunuliwa mwisho wa zamani kwaajili yetu."

                             UFAFANUZI
1. Umilele
Yesu alikuwepo milele kabla ya muda, nyakati na majira havijaanza.
2. Muda
Amefunuliwa siku hizi zetu, Sasa wakati huu wa muda kwaajili yetu.

                  . Maombi
1. Sema, Yesu alikuwepo milele amedhihirishwa sasa,Kunipatanisha na Mungu kwa damu (Wakolosai 1:20).
2.Sema, Yesu alikuwepo milele, amadhihirishwa sasa mimi na Israeli niwe karibu na Mungu kwa damu (Waefeso 2:13, Idai Israeli isipotee kwa damu).
3.Sema, Yesu amaniondolea tabia za kishetani nilizopata toka kwa Adamu kwa damu (1 Petro 1:18-19).
4. Sema, mbele za Mungu sina hatia kwa sauti ya damu (Waebrania 12:24).

No comments:

Post a Comment