Friday, October 31, 2014

Alikuwepo Amedhihirika2

31.10.2014
                          1Petro 1:20
                             UFAFANUZI
1. Umilele
Yesu alikuwepo milele kabla ya muda, nyakati na majira havijaanza.
2. Muda
Amefunuliwa siku hizi zetu kwaajili yetu kuyatimiza haya tuyaombayo.
                           
                            Maombi
1.Mungu amamseta Shetani miguuni mwa kanisa kwa jina la Yesu (Warumi 16:20)
2.Tunakaa mkono wa kuume na kutawala vyote vinavyoshindana na kanisa kwa jina la Yesu (Waefeso 2:5-6).
3.Hekima ya kiungu itawale katika anga la kanisa kwa jina la Yesu (Yakobo 3:13-18).
4.Kwa jina la Yesu, Tumemvaa Yesu aliye, Hekima, Utakatifu, Haki na Ukombozi. Tunaona fahari kwa yeye (1Wakorintho 1:30-31).

No comments:

Post a Comment