Sunday, August 16, 2015

Kweli ya Kutafakari

KUTAFAKARI NENO

Chakula hata ukirudia hicho hicho, kinaleta matokeo na nguvu mpya wakati wote. Kwa mfano ukila wali na nyama leo na kesho, kila siku utatoa virutubisho kwaajili ya siku hiyo.

Ndivyo lilivyo Neno la Mungu, unapolitafakari, hata ukilirudia hilo hilo linaleta kitu kipya, (UFAHAMU HUU NILIUPATA NILIPOKUWA NATAFAKARI WAEFESO 1:1-23, NA KUTEMBEA, TAREHE 11.8.2015, MAANDIKO HAYA NIMEYARUDIA SANA KIASI CHA KUANZA KUONA MBONA NIMEZIDI, NDIPO NIKATIWA,MOYO NA UFAHAMU HUU. NAAMINI NI TOKA KWA ROHO MTAKATIFU).

No comments:

Post a Comment