Thursday, December 18, 2014

Nia ya Yesu

Nia ya Yesu ni Yesu ndani yake anataka nini.
1.Anataka kuaminiwa (Yohana 6:36).
2.Anataka kusaidia (Mathayo 11:27).
3.Hataki kutuachia tupotee (Yohana 6:37).
4.Kujitoa nafsi yake wengine waokolewe (Marko 10:45).
5.Anaridhika na kufurahia atakacho Baba Mungu (Yohana 4:34).
6.Anataka kufanya atakacho Baba tu (Yohana 5:19).
7.Anataka watu wafikiwe na injili (Mathayo 9:35-36).
8.Yesu anataka maombi yetu yajibiwe (Yohana 16:23-24).
9. Anataka tuwe na furaha na amani, tusiwe na mahangaiko (Yohana 14:26).
10.Anataka akae ndani yetu nasi ndani yake, kwa Neno, Roho na mwili na damu yake (Yohana 15:1-7).
YATAKE HAYA NA KUOMBA YAWE KWAKO  UTAKUWA KAMA KRISTO KITABIA

No comments:

Post a Comment