Thursday, September 25, 2014

Mseme kwako Kama Alivyojisema

MSINGI NA UKUTA

Katika kizazi tulichonacho na mambo tunayopitia lazima tuwe na mahali pa kusimamia, na ukuta wa kujichia. Utaweza kusimama katika hali yoyote kwa kumtamka Kristo ni nani, Huu utakuwa ni msingi wa kusimamia.

Anza na kumtamka Kristo kupitia mambo yafuatayo, ambayo Kristo mwenyewe alijitambulisha kwayo jitambulishe pamoja naye, Ili usimame pamoja naye katika mazingira yote. Sema uko naye kama alivyojitambulisha.

1.MKATE WA UZIMA (Yohana 6:35-51)
2.NURU YA ULIMWENGU (Yohana 8:12, 9:12).
3.MLANGO WA KONDOO (Yohana 10:7-9)
4.MCHUNGAJI MWEMA (Yohana 10:11-14).
5.UFUFUO NA UZIMA (Yohana 11:25)
6.MZABIBU WA KWELI (Yohana 15:1-6)
7.NJIA, KWELI, UZIMA (Yohana 14:6)

MSEME YESU NI NANI KWAKO, MTAFAKARI YESU NI NANI KWAKO. MKUMBUKE YESU NI NANI KWAKO. UKIENDELEA KUFANYA HAYA, UTAJIJENGEA MSINGI NA UKUTA USIOPENYEKA.

No comments:

Post a Comment